Faith Barasa
1 maswali
1 majibu
Maswali yaliyoulizwa
Majibu yaliyotolewa
Kubadilisha namba ya M-Pesa kunaathiri mkopo wa app, kama ID ni ileile?
Mfumo wa app nyingi za mikopo unategemea namba ya simu kama "primary key" ya kutambua historia yako. Ukibadilisha namba, hata kama ID yako ni ileile, mfumo utakuona kama mgeni mpya - utaanza na skore …