Ruth Wafula
0 maswali
1 majibu
Majibu yaliyotolewa
Ngapi ni gharama ya Fuliza kwa KES 2,500, kama deni linakaa siku saba?
Kikokotoo cha M-Pesa kinaonyesha gharama yote ni KES 29.2 kwa siku saba. Ada ya uanzishaji inachukua sehemu kubwa - KES 25, halafu riba ya KES 4.2 inaongezwa.