Faith Atieno
0 maswali
1 majibu
Majibu yaliyotolewa
Kupata loan limit baada ya line mpya ya Safaricom huchukua matumizi gani?
Ulipaji wa bili za kawaida kama vile kodi ya nyumba au stima kupitia M-Pesa huongeza kasi ya kuonekana kwa limit. Miezi miwili ya kufanya hivyo na miamala mingine midogo inatosha.