Faith Barasa
Faith Barasa anauliza:

Freelancer mwenye malipo yasiyotabirika achague mkopo gani wenye repayment flexible?

📁 Mikopo 1 saa zilizopita 💬 1 majibu
Kadiria swali hili:
4 / 5  (1 tathmini)

1 majibu

Geoffrey Bii
Geoffrey Bii 0 1 1 saa zilizopita
Hebu niulize kwanza - unataka mkopo wa benki au fintech? Kwa freelancer, nashauri Tala au Branch kwa sababu zinaruhusu kulipa kwa awamu bila adhabu kubwa. Benki za jadi kama KCB zina "FLEXI loan" lakini makali ya riba yako juu ukichelewa. Mimi binafsi nimejaribu Tala - unalipa kwa siku unazotaka, si lazima mwisho wa mwezi. Lakini usisahau, mkopo wowote ni mtego ukikosa nidhamu.
3

Jibu

0 / 3000