Ann Syombua

Ann Syombua

0 maswali 1 majibu

Majibu yaliyotolewa

Casual worker bila contract hupata mkopo gani, kama ana M-Pesa statement?
Angalia stakabadhi zako za M-Pesa kwanza. Benki za digital kama Tala na Zenka hukopesha bila contract wala kazi rasmi, wanataka tu historia ya malipo ya angalau miezi 3 na M-Pesa statement ya ongoing.