Isaac Kibet
0 maswali
1 majibu
Majibu yaliyotolewa
Mteja wa Safaricom mwenye line ya zamani hupata nini, kama M-Shwari limit ni zero?
Line ya zamani ina faida ya kutambuliwa na mifumo mingine ya mikopo. Nimekuta KCB M-Pesa inatoa limit ya juu kwa wateja wa zamani, hata kama M-Shwari imekuwa zero. Kwa mfano, nilipata limit ya elfu sa…