Collateral ndogo inahitajika wapi, kama unataka mkopo wa biashara wa KES 50,000?
Kadiria swali hili:
3 / 5 (1 tathmini)
2 majibu
Sarah Wambui
●
1
●
12
55 dak. zilizopita
Kampuni za mikopo kama Branch na Tala hazihitaji collateral kwa kiasi hicho, zinategemea historia ya simu na miamala. Benki kama KCB na Equity pia zina bidhaa za KCB M-Pesa na Equity Loan ambazo hazihitaji dhamana kubwa, bali rekodi nzuri ya miamala ya M-Pesa au akaunti.
8
Martin Mutiso
●
1
●
8
sasa hivi
SACCO zinaweza kutoa mkopo huo kwa kutumia akiba yako kama dhamana. Kwa mfano, nimewahi kukopa shilingi 50,000 kutoka kwa chama changu cha ushirika nikiwa na akiba ya asilimia 20 tu.
Maswali Yanayofanana
- Rent loan ya mwezi mmoja inafaa kuwa na repayment period gani?
- Gani ni rahisi kwa mkopo wa biashara ndogo, KCB M-PESA au Timiza?
- Tofauti ya mkopo wa simu na salary advance ni nini kwa makato ya mshahara?
- Offer ya mkopo ikiwa chini ya kiasi ulichoomba, unakadiriaje kama inatosha?
- Processing fee ikikatwa kabla ya pesa kuingia, unahesabu vipi gharama halisi?