Gilbert Koech
Gilbert Koech anauliza:

Processing fee ikikatwa kabla ya pesa kuingia, unahesabu vipi gharama halisi?

📁 Mikopo 1 saa zilizopita 💬 1 majibu
Kadiria swali hili:
4 / 5  (1 tathmini)
KES 200,000
Tuma ombi

1 majibu

William Ouma
William Ouma 1 5 54 dak. zilizopita
Kwa mfano, ukikopa 10,000 na processing fee 500 ikatwa moja kwa moja, unapokea 9,500 tu. Gharama halisi si 500 kwa 10,000 bali ni 500 kwa 9,500 - hiyo ni 5.26% si 5%. Ukiona hivyo, unajua kwamba riba inakaa juu kidogo kuliko ilivyotangazwa, ndio maana wengi wanashangaa wanapolipa zaidi.
8

Jibu

0 / 3000