James Okello
James Okello anauliza:

Offer ya mkopo ikiwa chini ya kiasi ulichoomba, unakadiriaje kama inatosha?

📁 Mikopo 1 saa zilizopita 💬 1 majibu
Kadiria swali hili:
3 / 5  (1 tathmini)
KES 200,000
Tuma ombi

1 majibu

Julius Mwangi
Julius Mwangi 1 8 47 dak. zilizopita
Ninaangalia kwanza kama kiasi hicho kinaweza kufidia mahitaji yangu muhimu zaidi. Kisha nakadiria muda wa kurejesha na riba ikilinganishwa na mapato yangu. Ikiwa deni linabeba mzigo mwepesi kuliko mkopo mkubwa, basi inatosha.
5

Jibu

0 / 3000