Simon Odhiambo

Simon Odhiambo

0 maswali 1 majibu

Majibu yaliyotolewa

Kuweka pesa kwenye M-Shwari Lock Savings kunasaidia kupata mkopo, au ni akiba tu?
Kiasi cha pesa unachoweka kwenye Lock Savings hakiongezi skati yako ya mkopo moja kwa moja. M-Shwari hutazama historia ya akiba yako kwenye M-Shwari account, si Lock Savings pekee, pamoja na matumizi …