Lucy Makokha

Lucy Makokha

0 maswali 1 majibu

Majibu yaliyotolewa

Lipi lina makato ya moja kwa moja zaidi, Fuliza au mkopo wa app?
Kila mtu anayetumia Fuliza anajua kwamba makato yake hayana huruma - hata kama una pesa chache mkononi, itakata moja kwa moja kabla hujapata nafasi ya kutumia. Mkopo wa app kama KCB M-Pesa au M-Shwari…