Alice Chepchirchir
0 maswali
1 majibu
Majibu yaliyotolewa
Dharura ya sokoni inapohitaji stock, mkopo wa KES 3,000 upatikane wapi?
Vikundi vya akiba na mikopo vijijini (VICOBA) vinapatikana katika masoko mengi na vinatoa mikopo midogo kwa wanachama wake. Kwa mfano, mimi nilijiunga na kikundi cha wafanyabiashara wa mahindi Sokoni …