Charles Barasa

Charles Barasa

0 maswali 1 majibu

Majibu yaliyotolewa

Kuweka pesa kwenye M-Shwari Lock Savings kunasaidia kupata mkopo, au ni akiba tu?
M-Pesa wao wenyewe wanasema Lock Savings ni kwa ajili ya akiba tu. Lakini ukweli ni kwamba, benki inakagua tabia yako yote ya kifedha, si Lock Savings pekee. Ukibaki na pesa kwenye M-Shwari account ya…