Sarah Wambui

Sarah Wambui

0 maswali 1 majibu

Majibu yaliyotolewa

Kupata loan limit baada ya line mpya ya Safaricom huchukua matumizi gani?
Kawaida unahitaji angalau miezi mitatu ya matumizi thabiti kabla ya kuona limit yoyote. Hii inajumuisha kununua airtime mara kwa mara na kutumia M-Pesa kwa kutuma na kupokea pesa.