Ruth Owino
0 maswali
2 majibu
Majibu yaliyotolewa
M-Pesa ikiwa na salio kidogo, Fuliza huanza baada ya transaction kushindwa au kabla?
Salio haliliwi hadi mfumo ujaribu kwanza. Kwa mfano, nikiwa na Ksh 150 na ninataka kulipa Ksh 600 kwa M-Pesa, kwanza mfumo utasema "Salio halitoshi" kisha ndipo Fuliza inakopesha Ksh 450 iliyobaki. Ha…
Kuchagua siku thelathini za mkopo kunaepusha nini, ukilinganisha na deni la daily fee?
Faida kuu ni kwamba unakuwa na uhuru wa kutumia muda wako kufanya kazi au kuendesha biashara bila kukandamizwa na malipo ya kila siku. Deni la daily fee linakulazimisha kuwa na pesa mkononi kila asubu…