Kevin Nzau
0 maswali
1 majibu
Majibu yaliyotolewa
Sababu za app kupunguza limit baada ya repayment ni zipi, kama hukuwahi kuchelewa?
Kila app ina mfumo wake wa tathmini ya hatari, na kukopa kwa wingi hata ukiwa na nia njema kunaweza kusababisha kupunguzwa kwa limit. Nimekuta wakati nina limit kubwa lakini nikikopa mara nyingi kwa m…