Edwin Kiprono
1 maswali
1 majibu
Maswali yaliyoulizwa
Majibu yaliyotolewa
SACCO inaweza kuongeza mkopo baada ya miezi mingapi ya kulipa vizuri?
Kawaida wanangoja ukamilishe miezi 3 hadi 6 ya malipo mfululizo. Mfano, mzazi wangu alilipa vizuri kwa miezi 4 halafu akapandishwa kutoka 200K hadi 350K. Lakini kila SACCO ina sheria zake, zingine zin…