Rose Gathoni
0 maswali
2 majibu
Majibu yaliyotolewa
Wapi utakagua gharama zote za mkopo, kabla ya kukubali pesa iingie M-Pesa?
Ninachotazama ni kwenye "repayment schedule" au ratiba ya malipo. Hapo ndio ninaona kila kitu: riba, asilimia ya ada ya huduma, na jumla ya pesa nitalipa mwishoni.
Mteja wa kwanza wa Branch hupewa kiasi gani, kama ana miamala michache ya M-Pesa?
Kiasi cha mkopo wa kwanza kwa Branch ni Ksh 500 hadi Ksh 2,500, hata kama miamala yako ya M-Pesa ni michache. Branch hutumia data nyingine kama maelezo ya simu yako, umri wa namba, na mawasiliano na w…