Philip Bett
0 maswali
1 majibu
Majibu yaliyotolewa
Mteja mwenye mikopo mingi ya app hupata limit ndogo kwa sababu gani?
CRB inatazama historia yako na kuona unakopa kila mahali. Hiyo inamaanisha una shida za kifedha, ndiyo maana wanakupunguzia limit. Zamani watu walikopa benki moja tu, sasa kila mtu ana apps kumi.