Stephen Kilonzo

Stephen Kilonzo

0 maswali 1 majibu

Majibu yaliyotolewa

Gani ina gharama ndogo kwa mkopo wa dharura, M-Shwari au app loan?
Kwa uzoefu wangu, M-Shwari ina gharama ndogo zaidi kwa mkopo wa dharura. Ada yao ni asilimia 7.5 kwa kila shilingi mia moja kwa muda wa siku 30, huku app loan nyingi zinatoza kati ya asilimia 10 hadi …