Richard Langat
0 maswali
1 majibu
Majibu yaliyotolewa
Kubadilisha app ya mkopo baada ya limit kushuka kuna maana gani, kama tabia ya repayment haijabadilika?
CRB inajua tabia yako ya kulipa mkopo kwa ujumla, si app moja tu. Niliwahi kubadilisha app mara tatu - kutoka Tala hadi Branch hadi Okash - lakini limit ilibakia ndogo kwa sababu historia ya malipo ya…