Lilian Kyalo
0 maswali
1 majibu
Majibu yaliyotolewa
Muda wa approval ya Timiza ni gani, kama akaunti ya benki iko active?
Dakika 5 hadi 15 ndio muda wa kawaida. Mimi niliomba nikapata taarifa ya kukubaliwa ndani ya dakika 8, lakini ni vyema kuwa na angalau shilingi 500 kwenye akaunti wakati huo.