Dorcas Okoth
0 maswali
1 majibu
Majibu yaliyotolewa
Deni la KCB M-PESA likibaki kidogo, unaweza kuomba top up au lazima ulimalize?
Ndiyo, unaweza kuomba top up hata deni likibaki. Mfano, nimekopa 2,000 na kulipa 1,200, nikaomba top up ya 800 hadi kikomo changu cha 3,000. Hakuna shuruti ya kulipa yote kwanza.