Victor Muli
0 maswali
1 majibu
Majibu yaliyotolewa
Akiba ya SACCO kabla ya mkopo inatakiwa iwe asilimia gani ya kiasi unachoomba?
Hakuna asilimia moja rasmi - kila SACCO ina sera yake. Mimi nimekopa kutoka kwa SACCO ambayo ilidai akiba iwe sawa na 10% ya mkopo, lakini nyingine ilitaka 30%. Ukubwa wa mkopo na muda wa uanachama pi…