Mercy Simiyu

Mercy Simiyu

1 maswali 1 majibu

Maswali yaliyoulizwa

Majibu yaliyotolewa

Kupata loan limit baada ya line mpya ya Safaricom huchukua matumizi gani?
Jaza M-Pesa yako na utumie kwa angalau shilingi 500 kila wiki kwa malipo ya duka au kugharamia huduma za kila siku. Hii inaonyesha kuwa wewe ni mteja anayetumia huduma kwa uhalisi.