Martin Kipchoge
0 maswali
2 majibu
Majibu yaliyotolewa
Kuchagua SACCO kwa mkopo wa biashara kunalipa lini, kuliko loan app ya haraka?
Kiasi cha mkopo kutoka SACCO kinaweza kufikia milioni kadhaa, tofauti na loan app ambayo mara nyingi inazuia hadi laki moja tu. Biashara yangu ilikua haraka zaidi baada ya kupata milioni tatu kutoka S…
Mshahara ukiingia cash, app gani ya mkopo bado hutumia M-Pesa transactions?
Zimebaki chache sana. Branch na Tala bado zinakubali M-Pesa statements kama mshahara wako ni cash, lakini wanakupunguzia kiasi. Ukitaka mkopo mkubwa, lazima uwe na bank statement au ushahidi mwingine.