Lilian Chepkoech
0 maswali
1 majibu
Majibu yaliyotolewa
Kuepuka mkopo ghali wa haraka kunahitaji kuangalia masharti gani kwenye app?
Angalia kiwango cha riba kwa mwaka (APR) na si kile wanachokiita "ada ya huduma" kwa sababu wengi huficha riba kubwa kwenye ada hizo. Pia soma kwa makini kama wanaweza kuongeza muda wa malipo kiotomat…