Elijah Omondi

Elijah Omondi

1 maswali 1 majibu

Maswali yaliyoulizwa

Majibu yaliyotolewa

Mteja wa kwanza wa Branch hupewa kiasi gani, kama ana miamala michache ya M-Pesa?
Branch inatoa kuanzia Ksh 500 hadi Ksh 2,500 kwa mara ya kwanza, hata kama miamala yako ya M-Pesa ni michache. Ninaamini wanatumia data kama muda wa matumizi ya simu na maelezo ya mtandao wako - si tu…