Mkopaji mwenye mikopo miwili alipie upi kwanza, kama due dates zinakaribiana?
Kadiria swali hili:
3 / 5 (1 tathmini)
1 majibu
Rose Chepkorir
β
2
β
6
1 saa zilizopita
Hesabu za kwanza ni kiasi cha riba na ada za kuchelewa. Kama mkopo wa kwanza una riba kubwa au penalty kali zaidi, lipa huo kwanza ili usizidiwe na madeni.
7
Maswali Yanayofanana
- Monthly installment ya mkopo inafaa kuwa asilimia ngapi ya kipato chako?
- Kutuma maombi baada ya kulipa mkopo huleta offer mpya ndani ya muda gani?
- Ipi hufaa kwa mkopo wa biashara ndogo, loan app au SACCO?
- Lini mkopo wa simu unakuwa ghali kuliko mkopo wa SACCO kwa kiasi kidogo?
- Hatua gani za kuomba mkopo wa KCB M-PESA, kama menu ya M-Pesa imebadilika?