Martin Owino
Martin Owino anauliza:

Kupanga pesa ya repayment kabla ya due date kunasaidia limit kukua kwa app gani?

📁 Mikopo 1 saa zilizopita 💬 1 majibu
Kadiria swali hili:
3 / 5  (1 tathmini)
KES 200,000
Tuma ombi

1 majibu

Lilian Achieng
Lilian Achieng 2 8 53 dak. zilizopita
App nyingi za mikopo kama Tala, Branch na FairMoney zinaongezeka limit ukionyesha tabia nzuri ya kulipa kabla ya tarehe. Kwa uzoefu wangu, Tala inathamini sana malipo ya mapema na mara nyingi limit inaongezeka baada ya repayments kadhaa za mfululizo bila delay.
5

Jibu

0 / 3000