Kipindi cha kulipa mkopo wa Branch kinaweza kuchaguliwa kabla ya pesa kuingia?
Kadiria swali hili:
5 / 5 (1 tathmini)
1 majibu
Philip Bett
●
0
●
2
56 dak. zilizopita
Hapo awali, ulikuwa unaweza kuchagua muda wa malipo kabla ya kukubali mkopo. Lakini sasa, Branch inakuonyesha tu chaguo zilizowekwa tayari - ndefu au fupi - na ukishakubali, ndio utajua ratiba kamili. Wamefanya mambo magumu kidogo kuliko zamani.
6
Maswali Yanayofanana
- Njia ya kuona deni lote la mikopo ya simu ni ipi, bila kukisia?
- Dharura ya familia ikihitaji pesa leo, mkopo wa simu upi huingia M-Pesa haraka?
- Dharura ya fare ya kusafiri ikitokea usiku, Fuliza inaweza kusaidia kuliko app loan?
- Kufungua Branch wallet kabla ya loan kunaleta faida gani kwa mkopaji wa Kenya?
- Kufungua KCB M-PESA savings kabla ya loan kunaongeza nafasi ya kupata limit?