Lilian Kyalo
Lilian Kyalo anauliza:

Kipi kina muda mzuri kwa mkopo wa rent, siku 14 au siku 30 za kulipa?

📁 Mikopo 1 saa zilizopita 💬 1 majibu
Kadiria swali hili:
3 / 5  (1 tathmini)
KES 200,000
Tuma ombi

1 majibu

John Ochieng
John Ochieng 1 3 1 saa zilizopita
Siku 30 ndio chaguo sahihi kwa mkopo wa rent. Nimeona wateja wengi wakikosa kulipa ndani ya siku 14 kwa sababu mishahara yao hailingani na tarehe ya kukopa.
4

Jibu

0 / 3000