Joseph Wanjohi
Joseph Wanjohi anauliza:

Biashara ya salon ikitaka equipment ndogo, mkopo wa simu au SACCO ni bora?

📁 Mikopo 1 saa zilizopita 💬 1 majibu
Kadiria swali hili:
4 / 5  (1 tathmini)
KES 200,000
Tuma ombi

1 majibu

Gilbert Koech
Gilbert Koech 1 2 1 saa zilizopita
SACCO inakupa riba nafuu na muda mrefu wa kulipa, hivyo ni bora kwa equipment ndogo. Mkopo wa simu una riba kubwa na muda mfupi, unaweza kukusumbua kama biashara haijaanza vizuri.
5

Jibu

0 / 3000